• HABARI MPYA

  Jumapili, Septemba 22, 2019

  HAWA HAPA MASHUJAA WA AFCON YA KWANZA TAIFA STARS 1980 LAGOS

  Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars mwaka 1979 kutoka kulia waliosimama ni makipa Ally Muhsin, Omar Mahadhi, beki Mohamed Kajole ‘Machela’, Mohamed Salim, Salim Amir, Peter Tino, Juma Mkambi, George ‘Best’ Kulagwa na Hussein Ngulungu.
  Waliochuchumaa kutoka kulia ni Hassan Zitto, Thuwein Ally, Leopard Mukebezi ‘Taso’, Omar Hussein ‘Keegan’, Shaaban Katwila, Shaaban Ramadhani na Ibrahim Kapenta. Hapa ilikuwa ni baada ya kuitoa Zambia na kupata tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 1980 Nigeria na siku hiyo waliandaliwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Kombaini ya Ilala Uwanja wa Karume katika tafrija ya kupongezwa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAWA HAPA MASHUJAA WA AFCON YA KWANZA TAIFA STARS 1980 LAGOS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top