• HABARI MPYA

  Jumamosi, Septemba 14, 2019

  SON HEUNG-MIN APIGA MBILI SPURS YAIPIGA CRYSTAL PALACE 4-0

  Son Heung-min akisherehekea baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 10 na 23 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Patrick van Aanholt aliyejifunga dakika ya 21 na Erik Lamela dakika ya 42 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SON HEUNG-MIN APIGA MBILI SPURS YAIPIGA CRYSTAL PALACE 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top