AMISSI TAMBWE ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNG NA FANJA SC
Mshambuliaji mkongwe wa Burundi, Amissi Joselyn Tambwe akiwa ameshikana mkono na Rais wa klabu ya Fanja FC ya Oman, Seif Al-Sumry kufuatia kusaini mkataba wa miaka miwili baada ya kuachwa na Yanga SC ya Dr es Salaam
0 comments:
Post a Comment