UHURU SULEIMAN ATUA FC LUPOPO YA DRC INAYOFUNDISHWA NA KATALAY ALIWIKA YANGA SC
Kiungo mshambuliaji wa Tanzania, Uhuru Suleiman (kushoto) akisaini mkataba wa kujiunga na timu ya St Eloi Lupopo FC ya Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inayotumia Uwana wa Kibassa Maliba.
Uhuru anajiunga na timu hiyo inayofundishwa na mchezaji wa zamani wa Yanga SC, Mkongo pia Mujalay Kataray baada ya kuachana na Royal Eagles FC ya Afrika Kusini
Uhuru Suleiman aliamua kuvuka nje ya mipaka baada ya kuchezea klabu kadhaa nchini zikiwemo Simba SC na Coastal Union
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment