Mshambuliaji Mbelgiji, Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi Manchester United dakika ya 88 kabla ya Paul Pogba kukosa penalti dakika ya 90 ikiilaza Southampton 3-2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester. Lukaku pia alifunga bao la pili dakika ya 59, kufuatia Andreas Pereira kufunga la kwanza dakika ya 53, wakati mabao Southampton yamefungwa na Yan Valery dakika ya 26 na James Ward-Prowse dakika ya 75 na kwa ushindi huo Man United inafikisha pointi 58 baada ya kucheza mechi 29 ikipanda nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu England nyuma ya Spurs yenye pointi 61 za mechi 29 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Freddie Flintoff opens up 'learning to accept' the scars of his near-fatal
Top Gear crash as footage is seen for the first time - and reveals details
of his eight-month recovery
-
Speaking on The Jonathan Ross Show, Flintoff admitted he did not leave the
house for around six to seven months as he attempted to cope mentally with
his s...
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment