Refa Jose Munuera akimuonyesha kadi nyekundu Lucas Vazquez wa Real Madrid baada ya kumuonyesha kadi ya pili ya njano na kumtoa nje dakika ya 61 kufuatia kumchezea rafu Mikel Merino wa Real Sociedad katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Santiago Bernabeu. Real Sociedad ilishinda 2-0, mabao ya Willian Jose kwa penalti dakika ya tatu na Ruben Pardo dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Why Arsenal could succeed in sensational swoop for Vinicius Jr: Key reason
contract talks with Real Madrid have stalled, concerns over growing tension
with Kylian Mbappe and how Jose Mourinho won't stand in the way
-
PETE JENSON IN MADRID: Arsenal will be pushing against an open door if they
follow through on initial interest and make a big money offer for Vinicius
this...
11 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment