Lionel Messi na Luis Suarez wakipongezana baada ya wote kuifungia Barcelona katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Getafe usiku wa jana Uwanja wa Coliseum Alfonso Perez na kuendelea kuongoza La Liga kwa pointi tano zaidi ya Atlético Madrid. Messi alifunga dakika ya 20 na Suarez dakika ya 39, kabla ya Jaime Mata kuifungia Getafe dakika ya 43 na kwa ushindi huo Barcelona inafikisha pointi 40 baada ya kucheza mechi 18, ikiongoza La Liga mbele ya Atletico Madrid yenye pointi 35 za mechi 18 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Trump: Nigerians don’t need to be told security has improved – Dalung
-
Former Minister of Youth and Sports, Solomon Dalung, has downplayed US
President Donald Trump's recent praise of President Bola Tinubu’s efforts
to tackl...
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment