Harry Kane akishangilia na mchezaji mwenzake, Dele Alli baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Tottenham Hotspur dakika ya 26 ikiilaza Chelsea 1-0 katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao jana Uwanja wa Wembley mjini London. Bao hilo awali lilikataliwa na mshika kibendera kabla ya marudio ya picha za video kuonyesha ni bao halali ndipo likakubaliwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Indefensible' and 'unacceptable' - furious Rosenior questions Chelsea's
desire
-
Chelsea boss Liam Rosenior strongly criticises his players after they
suffer a fifth loss in a row without scoring for first time since 1912.
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment