Kiungo wa Wolverhampton Wanderers, Ruben Neves akifumua shuti kutoka umbali wa mita 30 kumtungua kipa Simon Mignolet kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 55 ikiwachapa Liverpool 2-1 kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu ya Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa Molineux mjini Wolverhampton. Bao la kwanza la Wolves lilifungwa na Raul Jimenez dakika ya 38, wakati la Liverpool inayotupwa nje ya michuanohiyo lilifungwa na Divock Origi dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
EU governments back Italy's Comporti for next head of ESMA
-
BRUSSELS, July 23 (Reuters) - Ambassadors of European Union governments
backed on Wednesday Italy's Carlo Comporti as the next head of the European
Securit...
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment