Mshambuliaji Alex Iwobi akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 82 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Blackpool kwenye mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la FA England leo Uwanja wa Bloomfield Road. Mabao mengine ya Arsenal yote yalifungwa na kinda Joe Willock dakika za 11 na 37 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Elliot Anderson aims dig at Man United after sealing £116m move to Man City
as he declares: 'I've joined the kings of Manchester'
-
Anderson, 23, joins City on a five-year deal, signing a contract until the
summer of 2031, and becomes the second most expensive British transfer.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment