• HABARI MPYA

  Thursday, October 05, 2017

  MASHABIKI WA PERU WAVAMIA ARGENTINA MECHI YA LEO USIKU

  Mashabiki wawili wa kike wa Peru wakipozi ili wapigwe picha eneo la Plaza Miserere mjini Buenos Aires baada ya kuwasili kuishabikia timu yao ya taifa katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji, Argentina usiku wa leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI WA PERU WAVAMIA ARGENTINA MECHI YA LEO USIKU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top