Alberto Moreno wa Liverpool akimruka Ashley Young wa Manchester United leo Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya bila mabao. Kwa sare hiyo, United inapaa kileleni mwa msimamo wa ligi ikifikisha pointi 20 baada ya kucheza mechi nane, mbele ya Manchester City wenye pointi 19 za mechi saba, ambao Saa 11:00 wanacheza na Stoke City Uwanja wa Etihad PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Les Bleus cruise! Townsend concedes France were worthy winners as Scots
come up short in finale
-
Gregor Townsend conceded Scotland had been beaten by the better side as
France powered past them in the second half to land the Six Nations
championship.
43 minutes ago
0 comments:
Post a Comment