Winga wa Leicester City, Riyad Mahrez akijaribu kuwapita wachezaji wa West Ham leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Leicester imeshinda 3-2, mabao yake yakifungwa na Mahrez dakika ya tano, Robert Huth dakika ya saba na Jamie Vardy dakika ya 38, wakati ya wenyeji yalifungwa na Manuel Lanzini dakika ya 20 na Andre Ayew dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
6 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment