• HABARI MPYA

    Sunday, March 26, 2017

    LUKAKU AINUSURU KIPIGO UBELIGIJI, AICHOMOLEA DAKIKA ZA JIONI YAPATA SARE 1-1 NA UGIRIKI

    Romelu Lukaku (kulia) akifumua shuti kuifungia Ubelgiji bao la kusawazisha dakika ya 89 ikitoa sare ya 1-1 na Ugiriki katika mchezo wa Kundi H kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussel. Ugiriki walitangulia kwa bao la Kostas Mitroglou dakika ya 46 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LUKAKU AINUSURU KIPIGO UBELIGIJI, AICHOMOLEA DAKIKA ZA JIONI YAPATA SARE 1-1 NA UGIRIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top