• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 26, 2017

  SINGIDA UNITED YASAJILI WAZIMBABWE WAWILI DOLA NJE NJE

  Mratibu wa klabu ya Singida United iliyorejea Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kuanzia msimu ujao, Sanga Festo (katikati) akiwakabidhi jezi wachezaji kutoka Zimbabwe, Elias Muroiwa (kulia) na Wisdom Mutasa (kushoto) baada ya wote kusaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na timu hiyo wote kutoka Dynamos FC ya kwao 
  Sanga Festo akimkabidhi fedha za kusaini mkataba wa miaka miwili Muroiwa mwenye umri wa miaka 27 (kulia)
  Sanga Festo akimkabidhi fedha zake Mutasa mwenye umri wa miaka 22. Singida United ipo chini ya ulezi wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SINGIDA UNITED YASAJILI WAZIMBABWE WAWILI DOLA NJE NJE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top