Cristiano Ronaldo akimpongeza Casemiro baada ya kuifungia Mbrazil huyo kuifungia bao la ushindi Real Madrid dakika ya 68 ikiilaza 2-1 Athletic Bilbao katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa San Mames Barria, Bilbao. Karim Benzema alianza kuifungia timu ya kocha Mfaransa, Zinadine Zidane dakika ya 25, kabla ya Aritz Adruriz kuwasawazishia wenyeji dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
6 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment