• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 31, 2017

  SERENGETI BOYS NA BURUNDI KATIKA PICHA JANA KAITABA

  Beki wa timu ya vijana chini chini ya umri wa miaka 17 wa Burundi, Paul Amatungo akiingia miguuni mwa mchezaji wa Tanzania, Ally Hamisi Ng'anzi katika mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Kaitaba, Bukoba. Serengeti Boys ilishinda 3-0
  Ally Ng'anzi akijaribu kumpita Nahodha wa Burundi, Omar Nzeyimana 
  Ally Ng'anzi alimpasia Muhsin Makame kufunga bao la kwanza jana
  Kipa wa Serengeti Boys, Ramadhani Kabwili akidaka mpira wa juu
  Yohanna Oscar Nkomola (kushoto) akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Burundi
  Nickson Kibabage akiwatoka wachezaji wa Burundi huku refa Jeonesia Rukyaa akishuhudia
  Kocha Mkuu wa Serengeti Boys, Bakari Shime mbele ya Mshauri wa Ufundi, Kim Poulsen jana
  Viongozi mbalimbali wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoka kushoto Ayoub Nyenzi, Pellegrinius Rutayuga, Geoffrey Nyange 'Kaburu' na Umande Chama walikuwepo jana Kaitaba 
  kikosi cha Serengeti Boys jana Kaitaba
  Kikosi cha Burundi jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SERENGETI BOYS NA BURUNDI KATIKA PICHA JANA KAITABA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top