Cristino Ronaldo (katikati) akiwa na Ricardo Quaresma na Joao Moutinho wakati wa kupokea tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ureno usiku wa jana mjini Lisbon, Ureno. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 amewashinda mchezaji wenzake wa Real Madrid, Pepe na kipa wa Sporting Lisbon, Rui Patricio kupata tuzo hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment