Danielle van de Donk (katikati) akishangilia na mchezaji mwenzake, Kim Little (kulia) baada ya kuifungia mabao matatu Arsenal katika ushindi wa 10-0 dhidi ya Tottenham Hotspur usiku wa jana katika mchezo wa Raundi ya Tano ya Kombe la FA, England. Mabao mengine yalifungwa na Danielle Carter mawili, Dominique Jansse, Kim Little, Chloe Kelly, Beth Mead na Katie McCabe. Ilikuwa ni siku mbaya kwa ujumla jana kwa Spurs, kwani katika Ligi Kuu ya England wanaume pia ilifungwa 2-1 na Southampton Uwanja wa White Hart Lane PICHA ZAIDI GONGA HAPA
We are going to improve in the next game – Ghana U-15 coach Kwaku Danso
-
Ghana U-15 coach Kwaku Danso says his team will be even better in their
next game despite a strong showing at the ongoing CAF African Schools
Championship....
45 minutes ago
0 comments:
Post a Comment