• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 28, 2017

  UWANJA WA TEVEZ WATEKETEA KWA MOTO LEO CHINA

  Uwanja wa Hongkou wa klabu ya Ligi Kuu China, Shanghai Shenhua iliyomsajili Carlos Tevez kwa mshahara wa Pauni 615,000 kwa wiki Desemba mwaka jana ukiteketea kwa moto baada ya kuungua kuanzia Saa 2:30 asubuhi ya leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: UWANJA WA TEVEZ WATEKETEA KWA MOTO LEO CHINA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top