Cristiano Ronaldo akiifungia bao timu yake ya taifa, Ureno dakika ya18 jana ikifungwa 3-2 na Sweden Uwanja wa Maritimo katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Bao lingine la Ureno lilifungwa na Andreas Granqvist aliyejifunga dakika ya 34, wakati ya Sweden yalifungwa na Viktor Claesson mawili dakika za 57 na 76 na Joao Cancelo aliyejifunga dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
GOTD: Johnsen v Nottingham Forest
-
Goal of the Day | United Legends defender Ronny Johnsen was also handy in
attack, as this strike from 1998/99 shows...
Dakika 23 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni