Juan Carlos Arce akishangilia baada ya kuifungia Bolivia bao la kwanza dakika ya 31 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Argentina jana Uwanja wa Hernando Siles mjini La Paz katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika ya Kusini. Bao la pili lilifungwa na Marcelo Martins Moreno dakika ya 52 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment