Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ureno dakika za 36 na 65 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Hungary usiku wa jana Uwanja wa Sport Lisboa e Benfica, da Luz kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Kundi. Bao lingine la Ureno lilifungwa na Andre Silva dakika ya 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment