• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 29, 2017

  BRAZIL YA KWANZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, YAILIPUA PARAGUAY 3-0

  Nyota wa Brazil, Philip Coutinho (kulia) akishangilia baada ya kuifungia Brazil katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Paraguay kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia 2018 kwa Amerika ya Kusini Uwanja wa Arena Corinthians mjini Sao Paulo, Brazil. Coutinho alifunga dakika ya 34, Neymar dakika ya 64 wakati bao lingine lilifungwa na Marcelo dakika ya 86 na Brazil inakuwa timu ya kwanza kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BRAZIL YA KWANZA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, YAILIPUA PARAGUAY 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top