Roberto Firmino na Philippe Coutinho wakiwa kwenye ndege waliyotumiwa na Liverpool jana ili wawahi mchezo wa Ligi Kuu ya England wa mahasimu wa Merseyside dhidi ya Everton Jumamosi, kufuatia kuiwezesha timu yao ya taifa, Brazil kufuzu Kombe la Dunia kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Paraguay PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Brazilian forward Hulk reveals Tottenham offer
-
Brazilian forward Hulk is no stranger to Premier League gossip columns. The
striker was constantly linked with moves to the likes of Chelsea and
Manchester...
Dakika 11 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni