• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 26, 2017

  STARS NA BOTSWANA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA

  Nahodha wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Thero Setsile wa Botswana (kulia) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Taifa Stars ilishinda 2-0
  Mbwana Samatta akipasua katikati ya wachezaji wa Botswana
  Shiza Kichuya (kushoto) akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Botswana
  Beki wa Botswana akiokoa mpira wa juu
  Farid Mussa wa Tanzania akiondoka na mpira
  Salum Abubakar 'Sure Boy' akimdhibiti mchezaji wa Botswana
  Muzamil Yassin wa Tanzania akimiliki mpira (kuia)
  Himid Mao wa Tanzania (kushoto) akimiliki mpira
  Mgeni rasmi, Waziri mpya wa Michezo, Dk. Harison Mwakyembe akisalimiana na mshambuliaji wa Taifa Stars, Ibrahim Hajib
  Wachezaji 11 wa Taifa Stars walioanza jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: STARS NA BOTSWANA KATIKA PICHA JANA UWANJA WA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top