Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Lukas Podolski (kushoto) akiwa mazoezini na timu yake ya taifa, Ujerumani mazoezini kujiandaa na mchezo wa 130 tangu aanze kuchezea timu hiyo watakapomenyana na England leo Uwanja wa Signal Iduna Park. Kulia ni mshambuliaji wa Manchester City, Leroy SanePICHA ZAIDI GONGA HAPA
0 comments:
Post a Comment