• HABARI MPYA

  Jumapili, Machi 26, 2017

  MBIKI MSUMI NA ANGELA DAMAS MWAKA 2002 WALITIKISA KINOMA

  Warembo Angella Damas (kulia) na Mbiki Msumi (kushoto) wakifurahia wakati wa kambi yao ya kujiandaa na Miss Tanzania mwaka 2002. Mbiki alikuwa Miss Dar City Centre na Miss Ilala na Angela akawa Miss Tanzania mwaka huo na kote huko wakifuatana katika nafasi mbili za juu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MBIKI MSUMI NA ANGELA DAMAS MWAKA 2002 WALITIKISA KINOMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top