• HABARI MPYA

    Sunday, March 26, 2017

    DELEV AGONGA ZOTE MBILI BULGARIA YAITULIZA UHOLANZI 2-0

    Spas Delev akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Bulgaria dakika za tano na 20 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Uholanzi usiku wa jana Uwanja wa Vasil Levski mjini Sofia, Bulgaria kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DELEV AGONGA ZOTE MBILI BULGARIA YAITULIZA UHOLANZI 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top