Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ufaransa 28 na 77 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Luxembourg usiku wa jana Uwanja wa Josy Barthel mjini Letzebuerg, Luxembourg kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia. Bao lingine la Ufaransa lilifungwa na Antoine Grizemann dakika ya 77, wakati la Luxembourg lilifungwa na Aurelien Joachim dakika ya 34 PICHA ZAIDI GONGA HAAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment