Lionel Messi wa Argentina akimfunga kwa penalti kipa wa Chile, Claudio Bravo dakika ya 16 Uwanja wa Monumental Antonio Vespucio Liberti mjini Buenos Aires kuipatia timu yake bao pekee katika ushindi wa 1-0 kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kanda ya Amerika Kusini, siku 269 baada ya kukosa penalti kwenye fainali ya Copa America PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment