• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 30, 2017

  SIMBA WALIVYOISHUHUDIA SERENGETI IKIWAPIGA BURUNDI LEO

  Beki wa Simba, Mohammed Hussein 'Tshabalala' akiwaonyesha kitu wenzake wakati mchezo wa kirafiki kati ya timu ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys na Burundi ukiendelea Uwanja wa Kaitaba Bukoba jioni leo. Serengeti Boys ilishinda 3-0
  Simba wapo Bukoba kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar Jumapili 
  Kipa Peter Manyika (kulia) alibaki kwenye basi kuushuhudia mchezo huo
  Simba walikuja timu nzima Uwanja wa Kaitaba leo kuushuhudia mchezo huo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA WALIVYOISHUHUDIA SERENGETI IKIWAPIGA BURUNDI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top