Sadio Mane wa Liverpool akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Nicolas Otamendi kwenye boksi leo lakini refa hakutoa penalti timu hizo zikitoka sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Liverpool walitangulia kwa bao la penalti la James Milner dakika ya 51, kufuatia Roberto Firmino kuangushwa na Gael Clichy kwenye boksi, lakini Sergio Aguero akaisawazishia Man City akimalizia pasi ya Kevin de Bruyne dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment