Cheikh Ndoye wa Senegal (kushoto) akiudhibiti mpira dhidi ya Ogenyi Onazi wa Nigeria (kulia) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wa jana Uwanja wa Hive, Barnet, London timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Senegal ilitangulia kwa bao la Moussa Sow dakika ya 54 kabla ya Kelechi Iheanacho kuisawazishia Nigeria dakika ya 83 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment