Marouane Fellaini (kushoto) akishangilia na Jesse Lingard (kulia) baada ya wote kufunga katika ushindi wa Manchester United wa 3-1 dhidi ya wenyeji Middlesbrough leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Riverside. Fellaini alifunga la kwanza dakika ya 30, Lingard la pili dakika ya 62 na la tatu lilifungwa na Antonio Valencia dakika ya 90 na ushei, wakati la kufutia machozi la Boro lilifungwa na Rudy Gestede dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Verstappen 'very relaxed' about Red Bull future
-
Max Verstappen appears relaxed about his future at Red Bull despite rumours
he could leave for a rival team in 2026.
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment