SAMATTA MKUTANONI LEO KUHUSU MECHI YA STARS NA BOTSWANA
Nahodha wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta (kushoto) akiwa na Msaidizi wake, Jonas Mkude wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari hoteli ya Urban Rose, eneo la Kisutu, Dar es Salaam leo kuelekea mchezo wa kirafiki wa kimataifa na Botswana kesho Uwanja wa Taifa, Jijini
Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga (kulia) akimsikiliza kocha Muingereza wa Botswana, Petter Buffer wakati anazungumza na Waandishi wa Habari
Nahodha mwingine Msaidizi wa Taifa Stars, Himid Mao akiwa na kocha wa makipoa, Patrick Mwangata
Kocha Mayanga na vijana wake wote wamesema wako tayari kwa mchezo wa kesho na wanatarajia ushindi
TBS YAKUTANA NA WAHARIRI DAR
-
Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Lazaro
Msasalaga ( wa pili kushoto) akizungumza wakati wa jukwaa la wahariri wa
vyom...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 maoni:
Chapisha Maoni