• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 29, 2017

  SANCHEZ AFUNGA, AKOSA PENALTI CHILE YASHINDA 3-1

  Alexis Sanchez akifumua shuti la mpira wa adhabu kuifungia Chile bao la kwanza dakika ya tano katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Venezuela jana Uwanja wa Monumental David Arellano mjini Santiago, Chile katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika ya Kusini. Mabao mengine ya Chile yalifungwa na Esteban Paredes dakika ya saba na 22 huku Sanchez akikosa penalti dakika ya 77, kabla ya Salomon Rondon kuifungia bao la kufutia machozi Venezuela dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SANCHEZ AFUNGA, AKOSA PENALTI CHILE YASHINDA 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top