• HABARI MPYA

  Jumatano, Machi 29, 2017

  TAIFA STARS NA BURUNDI KATIKA PICHA JANA

  Mshambuliaji wa Tanzania, Ibrahim Hajib (katikati) akiruka juu kupiga kichwa dhidi ya mabeki wa Burundi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Tanzania ilishinda 2-1 
  Kiungo wa Tanzania, Muzamil Yassin akiambaa na mpira pembeni ya wachezaji wa Burundi
  Winga wa Tanzania, Simon Msuva (kushoto) akipambana na beki wa Burundi
  Winga wa Tanzania, Farid Mussa (kushoto) akimpita beki wa Burundi
  Beki wa Tanzania, Salim Mbonde akimdhibiti mshambuliaji wa Burundi, Laudit Mavugo
  Laudit Mavugo wa Burundi akiwatoka wachezaji wa Tanzania
  Winga wa Tanzania, Shiza Kichuya akimtoka mchezaji wa Burundi 
  Mshambuliaji chipukizi wa Tanzania, Mbaraka Yussuf akimtoka mchezaji wa Burundi
  Kikosi cha Tanzania jana
  Kikosi cha Burundi jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TAIFA STARS NA BURUNDI KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top