Kipa Gianluigi Buffon akiwa ameshika jezi namba 1,000 baada ya kucheza mechi yake ya 1,000 usiku wa jana Uwanja wa Renzo Barbera mjini Palermo, Italia wakishinda 2-0 dhidi ya Albania kufuzu Kombe la Dunia. Kulia ni Mtendaji Mkuu wa Chama cha Soka (FA), Michele Uva PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Atletico Madrid friendly announced
-
The Reds will be playing a pre-season fixture in Norway in July.
Dakika 20 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni