Mario Gomez akienda hewani kuifungia Ujerumani bao la tatu dakika ya 45 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji, Azerbaijan usiku wa jana Uwanja wa Tofiq Bəhramov adına Respublika stadionu mjini Bakı, Baku katika mchezo wa Kundi C kufuzu Kombe la Dunia. Mabao mengine ya Ujerumani yalifungwa na Andre Schurrle mawili dakika za 19 na 81 na Thomas Muller dakika ya 36 wakati la wenyeji lilifungwa na Dimitrij Nazarov dakika ya 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Europa Conference League final: Roma 1-0 Feyenoord - Nicolo Zaniolo hits winner for Italians
-
Roma win their first major European trophy after defeating Feyenoord in the
inaugural Europa Conference League final.
Dakika 47 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni