• HABARI MPYA

  Ijumaa, Machi 24, 2017

  BUFFON KUCHEZA MECBHI YA 1,000 LEO ITALIA IKIIVAA ALBANIA

  Kipa Gianluigi Buffon akizungumza na Waandishi wa Habari jana kuelekea mchezo wake 1,000 wakati timu yake ya taifa, Italia itakapoikaribisha Albania leo mjini Palermo katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia. Buffon alicheza mechi yake ya kwanza Parma akiwa ana umri wa miaka 17 mwaka 1995, kabla ya kuhamia Juventus mwaka 2001 na kipa huyo ameichezea Italia kwa miaka zaidi ya 19 tangu Oktoba 29, mwaka 1997 akiwa ana umri wa miaka 19 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BUFFON KUCHEZA MECBHI YA 1,000 LEO ITALIA IKIIVAA ALBANIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top