• HABARI MPYA

  Jumanne, Machi 28, 2017

  NAPE ALIPOMKABIDHI DK MWAKYEMBE OFISI ZA WIZARA YA MICHEZO LEO DOM

  Aliyekuwa Waziri wa Habari Utamadunia Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (kushoto) akimkabidhi hati za makabidhiano ya Ofisi na Dk. Harison Mwakyembe anayechukua nafasi yake wizarani hapo mjini Dodoma leo baada ya mabadiliko yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli wiki iliyopita 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NAPE ALIPOMKABIDHI DK MWAKYEMBE OFISI ZA WIZARA YA MICHEZO LEO DOM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top