• HABARI MPYA

  Alhamisi, Machi 30, 2017

  KOCHA MAYANGA ANAPOKUWA KAZINI KAA NAYE MBALI

  Kocha wa timu ya soka ya wakubwa ya Tanzania, Salum Mayanga akiwapigia kelele wachezaji wake wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Burundi Jumanne Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Taifa Stars ilishinda 2-1 dhidi ya Int'hamba Murugamba
  Salum Mayanga alikuwa hatulii kwenye Jumanne Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. 
  Kuna wakati Salum Mayanga aliongea huku amekunja ngumi kwa hisia
  Salum Mayanga alipiga kelele na mayowe ya aina zote juzi 
  Na kuna wakati kwa hasira kocha Salum Mayanga alipiga teke upepo baada ya Ibrahim Hajib kukosa bao la wazi
  Wakati mwingine alitulia kuangalia mambo yanavyokwenda uwanjani
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: KOCHA MAYANGA ANAPOKUWA KAZINI KAA NAYE MBALI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top