Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi (kulia) akimlaki Waziri mpya wa Habari Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harison Mwakyembe (kushoto) katika hoteli ya Court Yard, eneo la Sea View, Dar es Saalaam leo mchana kabla ya kumtambulisha kwa Kamati ya Serengeti Boys
Jamal Malinzi akimlaki Dk Harison Mwakyembe aliyechukua nafasi ya Nape Nnauye aliyeondolewa juzi
Dk Harison Mwakyembe akisalimiana na Mjumbe wa Kamati ya Serengeti Boys, Beatrice Singano
Rais wa TFF, Jamal Malinzi (kulia) akimsomea Dk Harisons Mwakyembe muhtasari wa Kamati ya Serengeti Boys
Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Ayoub Nyenzi na Katibu Mkuu wa shirikisho, Selestine Mwesigwa (kushoto)
Malinzi akiwatambulisha Wajumbe wa Kamati kwa Dk Mwakyembe
Dk Mwakyembe akisalimiana na wadau mbalimbali akiwemo Maulid Kitenge (katikati) Mjumbe wa Serengeti Boys
Mkurugenzi wa Michezo, Yussuf Omar Singo (kushoto) akimpa mwongozo Waziri wa Michezo, Dk Harison Mwakyembe
McShay: Bo Nix Was 'Arrogant' Pick by Broncos; Didn't Know of Any Team with
R1 Grade
-
The Denver Broncos used the 12th pick in the 2024 NFL Draft on quarterback
Bo Nix, ensuring that the team got the quarterback that head coach Sean
Payton…
18 minutes ago
0 comments:
Post a Comment