Jonathan Kodjia wa Aston Villa akishangilia baada ya kuifungia Ivory Coast bao la kwanza dakika ya 30 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Urusi kwenye mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa FK Krasnodar mjini Krasnodar. Bao lingine la Ivory Coast lilifungwa na Wilfried Zaha dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment