Antoine Griezmann wa Ufaransa akishangilia bao lililokataliwa baada ya kurudiwa kutazamwa kwenye teknolojia ya video katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Hispania jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Hispania walishinda 2-0 mabao ya 68' David Silva kwa penalti dakika ya 68 na Gerard Deulofeu dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Ruben: This is why we love this sport
-
The boss still couldn't comprehend what his team achieved after our
stunning comeback in M16,
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment