Paulinho akishangilia na mchezaji mwenzake, Philippe Coutinho (kulia) baada ya kufunga mabao matatu Brazil dakika za 19, 52 na 90 na ushei katika ushindi wa 4-1 dhidi ya wenyeji Uruguay Uwanja wa Centenario mjini Montevideo Alfajiri ya leo katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia Urusi 2018 kwa kanda ya Amerika Kusini. Uruguay walitangulia kwa bao la penalti la mshambuliaji wa PSG, Edinson Cavani dakika ya tisa wakati bao lingine la Brazil lilifungwa na Neymar dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment