Daniele De Rossi akishangilia na Andrea Belotti baada ya nyota huyo wa Roma kufunga bao la kwanza kwa penalti dakika ya 12 baada ya Migjen Basha kumuangusha Andrea Belotti kwenye boksi katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Albania kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Renzo Barbera mjini Palermo. Bao lingine la Italia lilifungwa na Ciro Immobile dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment