Gary Cahill (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 87 ikiwafunga wenyeji, Stoke City 2-1 Uwanja wa Bet365 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England na kupaa kileleni kwa pointi 13 zaidi. Willian alianza kuifungia Chelsea dakika ya 13, kabla ya Jonathan Walters kuisawazishia Stoke kwa penalti dakika ya 38, kufuatia Cahill kucheza faulo kwenye boksi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
6 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment