Mshambuliaji wa Barcelona, Luis Suarez akimtoka Laureano 'Laure' Sanabria wa Deportivo La Coruna katika mchezo wa La Liga jioni ya leo Uwanja wa Camp Nou. Timu hizo zimetoka 2-2, mabao ya Barca yakifungwa na Lionel Messi na Ivan Rakitic ya Deportivo yakifungwa na Lucas Perez na Alejandro Bergantinos PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment